Swahili
Vermont Residency Certification - Swahili
Kutumia kama uthibitisho wa makaaji ya Vermont juya waombaji ambao ni watoto au waombaji ambao ni zaidi ya umri wa miaka 18 ambao wanaishi na wengine. Inachukua Nafasi ya Kiapo cha Makaaji ya Wazazi. VL-002
License/Permit Application - Swahili
Kuomba kutolewa kwa leseni yoyote mpya au kufanyaupya ya leseni ya Vermont au kibali (Sio CDL). VL-021
Non-Driver ID Application - Swahili
Kuomba kadi mpya, kuifanyaupya, ubadilishaji, au kitambulisho isiyo ya dereva iliyoboreshwa. VL-017